Mark 12:18 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Masadukayo ambao husema kwamba hakuna ufufuo walimwendea Yesu, wakamwuliza,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Masadukayo, wale wasemao kuwa hakuna ufufuo wa wafu, wakamjia Isa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Masadukayo, watu wasemao ya kwamba hakuna kiyama, wakamwendea, wakamwuliza na kusema,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha Masadukayo wakamjia. (Hawa ni wale wanaosema hakuna ufufuo wa wafu.) Wakamwuliza,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Masadukayo wasemao kwamba hakuna ufufuo walimwendea Yesu, wakamwuliza,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Masadukayo ambao husema kwamba hakuna ufufuo walimwendea Yesu, wakamwuliza,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Masadukayo, wale wasemao kuwa hakuna ufufuo wakamjia Yesu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Masadukayo, wale wasemao kuwa hakuna ufufuo wa wafu, wakamjia Isa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Masadukayo, watu wasemao ya kwamba hakuna kiyama, wakamwendea, wakamwuliza na kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Masadukayo ambao husema kwamba hakuna ufufuo walimwendea Yesu, wakamwuliza,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Masadukeo wanaosema: Hakuna ufufuko walipokuja kwake wakamwuliza wakisema:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Masadukayo, watu wasemao ya kwamba hakuna kiyama, wakamwendea, wakamwuliza na kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wasadukayo wamoja, ndio wale watu wanaosema kwamba wafu hawatafufuka, wakamufikia Yesu na kumwuliza:
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na Masadukayo, watu wasemao ya kwamba hapana kiyama, wakamwendea,