Mark 12:2 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati wa mavuno, alimtuma mtumishi wake kwa wale wakulima, akamletee sehemu ya mazao ya shamba lake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati wa mavuno ulipofika, mwenye shamba akamtuma mtumishi wake kwa hao wapangaji ili kuchukua sehemu yake ya mavuno ya shamba la mizabibu kutoka kwa hao wapangaji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata kwa wakati wake akatuma mtumwa kwa wale wakulima, ili apokee kwa wakulima katika matunda ya mizabibu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yalipotimia majira ya kuvuna, alimtuma mtumishi wake kwa wakulima wale, ili kukusanya sehemu yake ya matunda ya mzabibu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wakati wa mavuno, alimtuma mtumishi wake kwa wale wakulima akamletee sehemu ya mazao ya shamba lake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati wa mavuno, alimtuma mtumishi wake kwa wale wakulima, akamletee sehemu ya mazao ya shamba lake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati wa mavuno ulipofika, mwenye shamba akamtuma mtumishi wake kwa hao wakulima ili kuchukua sehemu yake ya mavuno kutoka kwa hao wapangaji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati wa mavuno ulipofika, mwenye shamba akamtuma mtumishi wake kwa hao wapangaji ili kuchukua sehemu yake ya mavuno ya shamba la mizabibu kutoka kwa hao wapangaji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kwa wakati wake akatuma mtumwa kwa wale wakulima, ili apokee kwa wakulima katika matunda ya mizabibu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati wa mavuno, alimtuma mtumishi wake kwa wale wakulima, akamletee sehemu ya mazao ya shamba lake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zilipotimia, akatuma mtumwa kwa wale wakulima, apewe na wakulima matunda ya mizabibu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata kwa wakati wake akatuma mtumwa kwa wale wakulima, ili apokee kwa wakulima katika matunda ya mizabibu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku za mavuno zilipotimia, akamutuma mutumishi wake mumoja kwa wale walimaji kusudi wamupatie sehemu yake ya mavuno.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta kwa wakati wake akatuma mtumwa kwa wale wakulima, illi apokee kwa wakulima baadhi ya matunda ya mizabibu.