Mark 12:21 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndugu wa pili akamwoa huyo mjane, naye pia akafa bila kuacha mtoto; na ndugu watatu hali kadhalika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wa pili akamwoa yule mjane, lakini naye akafa bila kuacha mtoto yeyote. Ikawa vivyo hivyo kwa yule wa tatu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wa pili naye akamtwaa akafa, wala yeye hakuacha mzao. Na wa tatu kadhalika;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wa pili naye akamwoa yule mke wa nduguye wa kwanza aliyeachwa naye akafa bila kuacha watoto wowote. Ndugu wa tatu pia alifanya vivyo hivyo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ndugu wa pili akamwoa huyo mjane, naye pia akafa bila kuacha mtoto; na ndugu watatu hali kadhalika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndugu wa pili akamwoa huyo mjane, naye pia akafa bila kuacha mtoto; na ndugu watatu hali kadhalika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wa pili akamwoa yule mjane, lakini naye akafa bila kuacha mtoto ye yote. Ikawa vivyo hivyo kwa yule wa tatu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wa pili akamwoa yule mjane, lakini naye akafa bila kuacha mtoto yeyote. Ikawa vivyo hivyo kwa yule wa tatu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wa pili naye akamtwaa akafa, wala yeye hakuacha mzao. Na wa tatu kadhalika;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndugu wa pili akamwoa huyo mjane, naye pia akafa bila kuacha mtoto; na ndugu watatu hali kadhalika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wa pili naye akamchukua, akafa, asiache mwana. Naye wa tatu vivi hivi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wa pili naye akamtwaa akafa, wala yeye hakuacha mzao. Na wa tatu kadhalika;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndugu wa pili akamwoa yule mwanamuke, naye akakufa vilevile bila kuacha mutoto. Na ikakuwa vile kwa ndugu wa tatu
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wa pili nae akamtwaa akafa, wala yeye hakuacha mzao.