Mark 12:22 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wote saba walikufa bila kuacha mtoto. Mwishowe yule mama mjane naye akafa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakuna hata mmoja wa hao ndugu saba aliyeacha mtoto. Hatimaye yule mwanamke naye akafa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
hata na wote saba, wasiache mzao. Mwisho wa wote yule mwanamke akafa naye.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndugu wote wale saba walimwoa yule mwanamke na wote hawakupata watoto. Mwisho wa yote, yule mwanamke pia akafariki,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wote saba walikufa bila kuacha mtoto. Mwishowe yule mama mjane naye akafa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wote saba walikufa bila kuacha mtoto. Mwishowe yule mama mjane naye akafa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakuna hata mmojawapo wa hao ndugu wote saba aliyeacha mtoto. Hatimaye yule mwanamke naye akafa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakuna hata mmojawapo wa hao ndugu wote saba aliyeacha mtoto. Hatimaye yule mwanamke naye akafa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
hata na wote saba, wasiache mzao. Mwisho wa wote yule mwanamke akafa naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wote saba walikufa bila kuacha mtoto. Mwishowe yule mama mjane naye akafa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wote saba hawakuacha mwana. Mwisho wao wote akafa naye mwanamke.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
hata na wote saba, wasiache mzao. Mwisho wa wote yule mwanamke akafa naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na hata kwa wote saba. Wote walimwoa yule mwanamuke, kila mumoja kisha kufa kwa mwenzake, lakini wakakufa bila kuacha watoto. Na kwa mwisho yule mwanamuke akakufa vilevile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta na wa tatu kadhalika; wukamtwaa wote saba wasiache mzao. Mwisho wa wote yule mwanamke akafa nae.