Mark 12:23 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, siku watu watakapofufuka, mama huyo atakuwa mke wa nani? Wote saba walikuwa wamemwoa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi, wakati wa ufufuo yeye atakuwa mke wa nani, maana aliolewa na ndugu wote saba?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, katika kiyama atakuwa mke wa yupi katika hao? Maana wote saba walikuwa naye.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Katika ufufuo, pale wafu watakapofufuka toka katika kifo, Je, yeye atakuwa mke wa nani? Kwani wote saba walikuwa naye kama mke wao.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, siku watu watakapofufuka, mama huyo atakuwa mke wa nani? Maana wote saba walikuwa wamemwoa.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, siku watu watakapofufuka, mama huyo atakuwa mke wa nani? Wote saba walikuwa wamemwoa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo wakati wa ufufuo, watakapofufuka wote, huyo atakuwa mke wa nani maana aliolewa na ndugu wote saba?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo wakati wa ufufuo, yeye atakuwa mke wa nani, maana aliolewa na ndugu wote saba?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, katika kiyama atakuwa mke wa yupi katika hao? Maana wote saba walikuwa naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, siku watu watakapofufuka, mama huyo atakuwa mke wa nani? Wote saba walikuwa wamemwoa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, katika ufufuko watakapofufuka, atakuwa mke wa yupi wa hao? Kwani wote saba walikuwa naye yule mwanamke.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, katika kiyama atakuwa mke wa yupi katika hao? Maana wote saba walikuwa naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa, siku wafu watakapofufuka, muke yule atakuwa wa nani; kwa maana wote saba walikuwa wamemwoa?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi, katika kiyama watakapofufuka atakuwa mke wa nani katika hawa? Maana wote saba walikuwa nae.