Mark 12:25 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana wafu watakapofufuka hawataoa wala kuolewa; watakuwa kama malaika wa mbinguni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wafu watakapofufuka, hawataoa wala kuolewa, bali watakuwa kama malaika wa mbinguni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana watakapofufuka katika wafu, hawaoi wala hawaolewi, bali huwa kama malaika walioko mbinguni.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kwa kuwa wafu wanapofufuka toka katika wafu, hawaoi wala kuolewa. Badala yake wanakuwa kama malaika walioko Mbinguni.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana wafu watakapofufuka, hawataoa wala kuolewa; watakuwa kama malaika wa mbinguni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana wafu watakapofufuka hawataoa wala kuolewa; watakuwa kama malaika wa mbinguni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wafu watakapofufuka, hawataoa wala kuolewa, watakuwa kama malaika wa mbinguni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wafu watakapofufuka, hawataoa wala kuolewa, bali watakuwa kama malaika wa mbinguni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana watakapofufuka katika wafu, hawaoi wala hawaolewi, bali huwa kama malaika walioko mbinguni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana wafu watakapofufuka hawataoa wala kuolewa; watakuwa kama malaika wa mbinguni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani watakapofufuka katika wafu hawataoa, wala hawataolewa, ila watakuwa, kama malaika walivyo mbinguni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana watakapofufuka katika wafu, hawaoi wala hawaolewi, bali huwa kama malaika walioko mbinguni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana wafu watakapofufuka, wataishi kama vile wamalaika wanavyoishi katika mbingu; hawataoa wala kuolewa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa maana watakapofufuka katika wafu, hawaoi wala hawaozwi, bali huwa kama malaika walioko mbinguni.