Mark 12:27 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, yeye si Mungu wa wafu, bali ni Mungu wa walio hai. Nyinyi mmekosea sana.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye si Mungu wa wafu, bali ni Mungu wa walio hai. Kwa hiyo mmekosea kabisa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye si Mungu wa wafu, bali wa walio hai. Hivyo mwapotea sana.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yeye si Mungu wa waliokufa, bali wa wale wanaoishi. Hivyo ninyi mmekosa sana.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, yeye si Mungu wa wafu, bali ni Mungu wa walio hai. Ninyi mmekosea sana!”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, yeye si Mungu wa wafu, bali ni Mungu wa walio hai. Nyinyi mmekosea sana.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mungu si Mungu wa wafu, bali ni Mungu wa walio hai. Kwa hiyo mmekosea kabisa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye si Mungu wa wafu, bali ni Mungu wa walio hai. Kwa hiyo mmekosea kabisa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye si Mungu wa wafu, bali wa walio hai. Hivyo mwapotea sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, yeye si Mungu wa wafu, bali ni Mungu wa walio hai. Nyinyi mmekosea sana.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, Mungu siye wa wafu, ila wao walio hai. Ninyi mnapotelewa sana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye si Mungu wa wafu, bali wa walio hai. Hivyo mwapotea sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na Yesu akaendelea kuwaambia: “Mungu si Mungu wa waliokufa, lakini ni Mungu wa wanaokuwa wazima. Hivi ninyi munadanganyika kabisa.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yeye si Mungu wa wafu, bali wa wahayi. Kwa hiyo mwajidanganya sana.