Mark 12:3 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wale wakulima wakamkamata, wakampiga, wakamrudisha mikono mitupu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini wale wakulima walimkamata yule mtumishi, wakampiga, wakamfukuza mikono mitupu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamtwaa, wakampiga, wakamtoa nje, hana kitu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini wakulima wale walimkamata mtumishi yule, wakampiga, na kumfukuza pasipo kumpa chochote.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wale wakulima wakamkamata, wakampiga, wakamrudisha mikono mitupu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wale wakulima wakamkamata, wakampiga, wakamrudisha mikono mitupu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini wale wakulima walimkamata yule mtumishi, wakampiga, wakamfukuza mikono mitupu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini wale wakulima walimkamata yule mtumishi, wakampiga, wakamfukuza mikono mitupu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamtwaa, wakampiga, wakamtoa nje, bila chochote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wale wakulima wakamkamata, wakampiga, wakamrudisha mikono mitupu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wakamkamata, wakampiga, wakamrudisha mikono mitupu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamtwaa, wakampiga, wakamtoa nje, hana kitu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wale walimaji wakamukamata yule mutumishi, wakamupiga na kumurudisha mikono mitupu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakamtwaa, wakampiga, wakamtoa nje, hana kitu. Akatuma tena kwao mtumwa mwingine.