Mark 12:35 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati Yesu alipokuwa akifundisha hekaluni, aliuliza, “Mbona waalimu wa sheria wanasema ya kwamba Kristo ni mwana wa Daudi?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa alipokuwa akifundisha Hekaluni, akauliza, “Imekuwaje walimu wa Torati wanasema kwamba Al-Masihi ni Mwana wa Daudi?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata Yesu alipokuwa akifundisha katika hekalu, alijibu, akasema, Husemaje waandishi ya kwamba Kristo ni Mwana wa Daudi?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu alipokuwa akifundisha katika mabaraza ya Hekalu, alisema, “Inawezekana vipi walimu wa Sheria kusema kwamba Kristo ni mwana wa Daudi?
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wakati Yesu alipokuwa akifundisha Hekaluni, aliuliza, “Mbona walimu wa Sheria wanasema ya kwamba Kristo ni mwana wa Daudi?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati Yesu alipokuwa akifundisha hekaluni, aliuliza, “Mbona waalimu wa sheria wanasema ya kwamba Kristo ni mwana wa Daudi?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati Yesu alipokuwa akifundisha Hekaluni, akauliza, “Imekuwaje walimu wa sheria wanasema kwamba Kristo ni Mwana wa Daudi?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa alipokuwa akifundisha Hekaluni, akauliza, “Imekuwaje walimu wa Torati wanasema kwamba Al-Masihi ni Mwana wa Daudi?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yesu alipokuwa akifundisha katika hekalu, alijibu, akasema, Husemaje waandishi ya kwamba Kristo ni Mwana wa Daudi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati Yesu alipokuwa akifundisha hekaluni, aliuliza, “Mbona waalimu wa sheria wanasema ya kwamba Kristo ni mwana wa Daudi?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yesu alipofundisha hapo Patakatifu akawauliza akisema: Waandishi husemaje, ya kuwa Kristo ni mwana wa Dawidi?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata Yesu alipokuwa akifundisha katika hekalu, alijibu, akasema, Husemaje waandishi ya kwamba Kristo ni Mwana wa Daudi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu alipokuwa akifundisha katika hekalu akauliza: “Namna gani walimu wa Sheria wanaweza kusema kwamba Kristo ni Mwana wa Daudi?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta Yesu alipokuwa akifundisha katika hekalu, akajibu, akanena, Kwa maana gani waandishi hunena ya kwamba Kristo yu Mwana wa Daud?