Mark 12:39 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kuchukua nafasi za heshima katika karamu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia wao hupenda kukaa kwenye viti vya mbele katika masinagogi, na kupewa nafasi za heshima katika karamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kuketi mbele katika masinagogi, na viti vya mbele katika karamu;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hao wanapenda kukaa viti vya mbele katika masinagogi na kupewa sehemu muhimu zaidi za kukaa katika karamu za chakula.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
na kuchukua nafasi za heshima katika karamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kuchukua nafasi za heshima katika karamu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia wao hupenda kukaa kwenye viti vya mbele katika masinagogi na kupewa nafasi za heshima katika karamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia wao hupenda kukaa kwenye viti vya mbele katika masinagogi, na kupewa nafasi za heshima katika karamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kuketi mbele katika masinagogi, na viti vya mbele katika karamu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kuchukua nafasi za heshima katika karamu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Namo nyumbani mwa kuombea hupenda viti vya mbele, hata wakialikwa chakulani hupenda kukaa penye wakuu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kuketi mbele katika masinagogi, na viti vya mbele katika karamu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanapenda vilevile kuikaa katika viti vya mbele ndani ya nyumba za kuabudia na kwenye nafasi za heshima katika karamu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
na kukaa mbele katika sunagogi, na mahali pa mbele katika karamu: