Mark 12:43 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo Yesu akawaita wanafunzi wake, akawaambia, “Kweli nawaambieni, mama huyu mjane maskini ametia katika sanduku la hazina kiasi kikubwa kuliko walichotia wengine wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa akawaita wanafunzi wake, akawaambia, “Amin, nawaambia, huyu mjane maskini ameweka katika sanduku la hazina zaidi ya watu wengine wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaita wanafunzi wake, akawaambia, Amin, nawaambia, Huyu mjane maskini ametia zaidi kuliko wote wanaotia katika sanduku la hazina;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu aliwaita wanafunzi wake pamoja na kuwaambia, “Nawaambieni ukweli mjane huyu maskini ameweka sarafu mbili tu. Lakini ukweli ni kwamba ametoa zaidi ya matajiri wote wale.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu akawaita wanafunzi wake, akawaambia, “Kweli nawaambieni, huyu mama mjane maskini ametoa zaidi kuliko wengine wote waliotia fedha katika sanduku la hazina.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo Yesu akawaita wanafunzi wake, akawaambia, “Kweli nawaambieni, mama huyu mjane maskini ametia katika sanduku la hazina kiasi kikubwa kuliko walichotia wengine wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu akawaita wanafunzi wake akawaambia, “Amin, amin, nawaambia, huyu mjane maskini ametoa zaidi katika hazina kuliko wengine wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa akawaita wanafunzi wake, akawaambia, “Amin, nawaambia, huyu mjane maskini ameweka katika sanduku la hazina zaidi ya watu wengine wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaita wanafunzi wake, akawaambia, Amin, nawaambia, Huyu mjane maskini ametia zaidi kuliko wote wanaotia katika sanduku la hazina;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo Yesu akawaita wanafunzi wake, akawaambia, “Kweli nawaambieni, mama huyu mjane maskini ametia katika sanduku la hazina kiasi kikubwa kuliko walichotia wengine wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, alipowaita wanafunzi wake, akawaambia: Kweli nawaambiani: Huyu mjane mkiwa ametia mengi kuliko wote waliotia mapesa humu sandukuni mwenye vipaji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaita wanafunzi wake, akawaambia, Amin, nawaambia, Huyu mjane maskini ametia zaidi kuliko wote wanaotia katika sanduku la hazina;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi Yesu akawaita wanafunzi wake na kuwaambia: “Kweli ninawaambia kwamba mujane huyu masikini ametoa mingi zaidi kuliko wote wanaotia feza ndani ya sanduku ya sadaka.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akawaita wanafunzi wake, akawaambia, Amin, nawaambieni, Huyu mjane maskini ametia vingi kuliko wote wanaotia katika sanduku ya hazina: