Mark 12:5 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yule mwenye shamba akatuma mtumishi mwingine tena ambaye hao wakulima walimuua. Wengine wengi waliotumwa, baadhi yao walipigwa, na wengi wakauawa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha akamtuma mtumishi mwingine, naye huyo wakamuua. Akawatuma wengine wengi; baadhi yao wakawapiga, na wengine wakawaua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamtuma mwingine, huyo wakamwua; na wengine wengi, hawa wakiwapiga na hawa wakiwaua.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yule mmiliki wa shamba la mzabibu akamtuma mtumishi mwingine, na wakulima wale wakamuua na yule pia. Baada ya hapo alituma wengi wengine. Wakulima wale waliwapiga baadhi yao na kuua wengine.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mwenye shamba akatuma mtumishi mwingine tena, na huyo wakamuua. Wengine wengi waliotumwa, baadhi yao walipigwa, na wengi wakauawa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yule mwenye shamba akatuma mtumishi mwingine tena ambaye hao wakulima walimuua. Wengine wengi waliotumwa, baadhi yao walipigwa, na wengi wakauawa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha akatuma mtumishi mwingine, huyu wakamwua. Akatuma wengine wengi, baadhi yao wale wakulima wakawapiga na wengine wakawaua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha akamtuma mtumishi mwingine, naye huyo wakamuua. Akawatuma wengine wengi; baadhi yao wakawapiga, na wengine wakawaua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamtuma mwingine, huyo wakamwua; na wengine wengi, hawa wakiwapiga na hawa wakiwaua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yule mwenye shamba akatuma mtumishi mwingine tena ambaye hao wakulima walimuua. Wengine wengi waliotumwa, baadhi yao walipigwa, na wengi wakauawa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipotuma tena mwingine, huyo naye wakamwua. Nao wengine wengi, wengine wakawapiga, wengine wakawaua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamtuma mwingine, huyo wakamwua; na wengine wengi, hawa wakiwapiga na hawa wakiwaua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwenye shamba akatuma tena kwao mutumishi mwingine, nao wakamwua. Na kisha akatuma wengine wengi, nao wale walimaji wakawapiga wamoja na kuwaua wengine.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akamtuma mwingine, huyo wakamwua; na wengine wengi, wakiwapiga hawa, na wakiwana hawa.