Mark 12:7 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini hao wakulima wakaambiana, ‘Huyu ndiye mrithi, basi, tumuue ili urithi wake uwe wetu!’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Lakini wale wapangaji wakasemezana pamoja, ‘Huyu ndiye mrithi. Njooni tumuue, nao urithi utakuwa wetu.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini wale wakulima wakasemezana, Huyu ni mrithi; haya, na tumwue, na urithi utakuwa wetu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini wakulima wale walisemezana wao kwa wao, ‘Huyu ndiye yule mrithi. Njooni tukamuue, na urithi utakuwa wetu!’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini hao wakulima wakaambiana, Huyu ndiye mrithi, basi, tumuue ili urithi wake uwe wetu!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini hao wakulima wakaambiana, ‘Huyu ndiye mrithi, basi, tumuue ili urithi wake uwe wetu!’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Lakini wale wapangaji wakasemezana wao kwa wao, wakisema, ‘Huyu ndiye mrithi, njoni tumwue, nao urithi utakuwa wetu.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Lakini wale wapangaji wakasemezana pamoja, ‘Huyu ndiye mrithi. Njooni tumuue, nao urithi utakuwa wetu.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini wale wakulima wakasemezana, Huyu ni mrithi; haya, na tumwue, na urithi utakuwa wetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini hao wakulima wakaambiana, ‘Huyu ndiye mrithi, basi, tumuue ili urithi wake uwe wetu!’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wale wakulima wakasemezana wao kwa wao: Huyu ndiye kibwana, njoni, tumwue! Kisha nao urithi wake utakuwa wetu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini wale wakulima wakasemezana, Huyu ni mrithi; haya, na tumwue, na urithi utakuwa wetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wale walimaji walipomwona akikuja, wakasemezana: ‘Musimame! Huyu ndiye atakayerizi shamba hili. Basi tumwue, na shamba hili litakuwa urizi wetu!’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wale wakulima wakasemezana, Huyu ni mrithi; haya, na tumwue, na urithi utakuwa wetu.