Mark 12:9 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Basi, mwenye shamba atafanya nini? Atakuja kuwaangamiza hao wakulima na kulikodisha hilo shamba la mizabibu kwa watu wengine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Sasa basi yule mwenye shamba atafanya nini? Atakuja na kuwaua hao wapangaji, kisha atawapa wapangaji wengine hilo shamba la mizabibu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
basi atafanyaje yule bwana wa shamba la mizabibu? Atakuja na kuwaangamiza wale wakulima, na lile shamba la mizabibu atawapa wengine.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Je! Mnadhani mwenye kumiliki lile shamba la mizabibu atafanya nini? Atakuja na kuwaua wakulima wale, na kukodisha shamba lile kwa watu wengine.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Basi, mwenye shamba atafanya nini? Atakuja kuwaangamiza hao wakulima na kulikodisha hilo shamba la mizabibu kwa watu wengine.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Basi, mwenye shamba atafanya nini? Atakuja kuwaangamiza hao wakulima na kulikodisha hilo shamba la mizabibu kwa watu wengine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mnadhani yule mwenye shamba atafanya nini? Atakuja na kuwaua hao wapangaji, kisha atawapa wapangaji wengine hilo shamba la mizabibu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Sasa basi yule mwenye shamba atafanya nini? Atakuja na kuwaua hao wapangaji, kisha atawapa wapangaji wengine hilo shamba la mizabibu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi atafanyaje yule bwana wa shamba la mizabibu? Atakuja na kuwaangamiza wale wakulima, na lile shamba la mizabibu atawapa wengine.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Basi, mwenye shamba atafanya nini? Atakuja kuwaangamiza hao wakulima na kulikodisha hilo shamba la mizabibu kwa watu wengine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, mwenye mizabibu atafanya nini? Atakapokuja atawaangamiza wale wakulima, nayo mizabibu atawapa wengine.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
basi atafanyaje yule bwana wa shamba la mizabibu? Atakuja na kuwaangamiza wale wakulima, na lile shamba la mizabibu atawapa wengine.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Yesu akauliza: “Basi yule mwenye shamba la mizabibu atafanya nini? Yeye atakuja na kuwaua wale walimaji. Na kisha atawapatia walimaji wengine shamba lile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi atafanyani yule Bwana wa mizabibu? Atakuja na kuwaangamiza wale wakulima, na lile shamba la mizabibu atawapa watu wengine.