Mark 13:12 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndugu atamsaliti ndugu yake auawe; baba atamsaliti mwanawe; watoto nao watawashambulia wazazi wao na kuwaua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ndugu atamsaliti ndugu yake ili auawe, naye baba atamsaliti mtoto wake. Watoto nao wataasi dhidi ya wazazi wao na kusababisha wauawe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na ndugu atamsaliti ndugu yake ili auawe, na baba atamsaliti mtoto, na watoto watashambulia wazazi wao, na kuwafisha.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na ndugu atamsaliti nduguye hata kuuawa, na baba atamsaliti mwanawe. Watoto nao watawaasi wazazi wao na hata kuwatoa wauawe.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ndugu atamsaliti ndugu yake auawe; baba atamsaliti mwanae; watoto watawashambulia wazazi wao na kuwaua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndugu atamsaliti ndugu yake auawe; baba atamsaliti mwanawe; watoto nao watawashambulia wazazi wao na kuwaua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ndugu atamsaliti ndugu yake ili auawe, baba atamsaliti mwanawe. Watoto watawaasi wazazi wao na kusababisha wauawe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ndugu atamsaliti ndugu yake ili auawe, naye baba atamsaliti mtoto wake. Watoto nao wataasi dhidi ya wazazi wao na kusababisha wauawe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na ndugu atamsaliti ndugu yake ili auawe, na baba atamsaliti mtoto, na watoto watawashambulia wazazi wao, na kuwaua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndugu atamsaliti ndugu yake auawe; baba atamsaliti mwanawe; watoto nao watawashambulia wazazi wao na kuwaua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Itakuwa hivi: ndugu na ndugu watatoana, wauawe, hata baba watawatoa watoto wao, hata watoto watawainukia wazazi wao, wawaue.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na ndugu atamsaliti ndugu yake ili auawe, na baba atamsaliti mtoto, na watoto watashambulia wazazi wao, na kuwafisha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndugu atamutoa ndugu, kusudi auawe, na baba atatoa mutoto wake, nao watoto watawageukia wazazi wao na kuwaua.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na ndugu atamsaliti ndugu yake illi anawe, na baba mtoto wake, na watoto wataondoka jun ya wazazi wao, na kuwafisha.