Mark 13:15 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliye juu ya paa la nyumba asishuke kuingia nyumbani mwake kuchukua kitu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeyote aliye juu ya dari ya nyumba asishuke au kuingia ndani ili kuchukua chochote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na mtu aliye juu ya dari asishuke, wala asiingie kuchukua kitu nyumbani mwake;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ikiwa mtu yupo katika paa la nyumba yake, asishuke chini na kuingia nyumbani mwake kuchukua kitu chochote.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mtu aliye juu ya paa la nyumba asishuke kuingia nyumbani mwake kuchukua kitu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliye juu ya paa la nyumba asishuke kuingia nyumbani mwake kuchukua kitu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye aliyeko juu ya dari ya nyumba asishuke au kuingia ndani ili kuchukua kitu cho chote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeyote aliye juu ya dari ya nyumba asishuke au kuingia ndani ili kuchukua chochote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na mtu aliye juu ya dari asishuke, wala asiingie kuchukua kitu nyumbani mwake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliye juu ya paa la nyumba asishuke kuingia nyumbani mwake kuchukua kitu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu atakayekuwapo nyumbani juu asishuke na kuingia nyumbani mwake kuchukua kilichomo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na mtu aliye juu ya dari asishuke, wala asiingie kuchukua kitu nyumbani mwake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atakayekutiwa juu ya paa la nyumba asishuke na kuingia ndani ya nyumba kutwaa kitu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
nae aliye juu ya dari asishuke nyumbani, wala asiingie kuchukua kitu katika nyumba yake,