Mark 13:17 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ole wao kina mama waja wazito na wanaonyonyesha siku hizo!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ole wao wenye mimba na wale wanaonyonyesha watoto siku hizo!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini ole wao wenye mimba, nao wanyonyeshao siku hizo!
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wakati huo itakuwa hatari kwa wanawake walio waja wazito na wale wenye watoto wachanga.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ole wao waja wazito na wanaonyonyesha siku hizo!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ole wao kina mama waja wazito na wanaonyonyesha siku hizo!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ole wao wenye mimba na wale wanaonyonyesha watoto siku hizo!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ole wao wenye mimba na wale wanaonyonyesha watoto siku hizo!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini ole wao wenye mimba, nao wanyonyeshao siku hizo!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ole wao kina mama waja wazito na wanaonyonyesha siku hizo!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini watakaoona vibaya zaidi ndio wenye mimba na wenye kunyonyesha siku zile.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini ole wao wenye mimba, nao wanyonyeshao siku hizo!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanawake wenye mimba na wenye kunyonyesha watapata hasara katika siku zile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ole wao wenye mimba, nao wanyonyeshao siku zile!