Mark 13:19 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana wakati huo kutakuwa na dhiki ambayo haijatokea tangu Mungu alipoumba ulimwengu mpaka leo, wala haitatokea tena.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana siku hizo zitakuwa za dhiki kuu ambayo haijapata kuwa tangu mwanzo, hapo Mungu alipoumba ulimwengu, hadi leo, na wala haitakuwa tena kamwe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana siku hizo zitakuwa na dhiki, jinsi isivyokuwa tangu mwanzo wa kuumba alipoumba Mungu hata sasa, wala haitakuwa kamwe.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kwa kuwa taabu itakayotokea katika siku hizo itakuwa ile ambayo haijawahi kutokea tangu mwanzo pale Mungu alipoumba dunia hadi sasa. Na hakitatokea tena kitu kama hicho.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana wakati huo kutakuwa na dhiki ambayo haijatokea tangu Mungu alipoumba ulimwengu mpaka leo, wala haitatokea tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana wakati huo kutakuwa na dhiki ambayo haijatokea tangu Mungu alipoumba ulimwengu mpaka leo, wala haitatokea tena.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana siku hizo itakuwako dhiki kuu ambayo haijapata kuwako tangu mwanzo wa uumbaji, hapo Mungu alipoumba ulimwengu mpaka leo na wala haitakuwako tena kamwe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana siku hizo zitakuwa za dhiki kuu ambayo haijapata kuwako tangu mwanzo, hapo Mwenyezi Mungu alipoumba ulimwengu, mpaka leo, na wala haitakuwako tena kamwe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana siku hizo zitakuwa na dhiki, jinsi isivyokuwa tangu mwanzo wa kuumba alipoumba Mungu hata sasa, wala haitakuwa kamwe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana wakati huo kutakuwa na dhiki ambayo haijatokea tangu Mungu alipoumba ulimwengu mpaka leo, wala haitatokea tena.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani siku zile zitakuwa na maumivu makuu kuyapita yote yaliyopatikana tangu mwanzo wa viumbe, Mungu alivyoviumba, mpaka sasa, hata halafu hayatapatikana tena kama hayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana siku hizo zitakuwa na dhiki, jinsi isivyokuwa tangu mwanzo wa kuumba alipoumba Mungu hata sasa, wala haitakuwa kamwe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana katika siku zile kutakuwa mateso makubwa yasiyoonekana hata kidogo tangu siku ile Mungu alipoumba ulimwengu mpaka sasa, wala hakutatokea tena mateso kama yale.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa maana siku zile zitakuwa na shidda jinsi isivyokuwa tangu mwanzo wa kuumba alipoumba Mungu hatta sasa, wala hazitakuwa kamwe.