Mark 13:21 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Basi mtu akiwaambieni, ‘Tazama, Kristo yupo hapa,’ au ‘Yupo pale,’ msimsadiki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati huo mtu yeyote akiwaambia, ‘Tazama, Al-Masihi huyu hapa!’ au, ‘Tazama, yuko kule,’ msisadiki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wakati huo mtu akiwaambia, Tazama, Kristo yupo hapa, au yuko kule, msisadiki;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ikiwa mtu atawaambia, ‘Tazama, Kristo ni huyu hapa!’ ama ‘Ni yule pale!’ Usiliamini hilo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Basi mtu akiwaambieni, Tazama, Kristo yupo hapa! au Yupo pale! msimsadiki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Basi mtu akiwaambieni, ‘Tazama, Kristo yupo hapa,’ au ‘Yupo pale,’ msimsadiki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati huo mtu ye yote akiwaambia, ‘Tazama, Kristo huyu hapa!’ au, ‘Tazama, yuko kule,’ msiamini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huo mtu yeyote akiwaambia, ‘Tazama, Al-Masihi huyu hapa!’ au, ‘Tazama, yuko kule,’ msisadiki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wakati huo mtu akiwaambia, Tazama, Kristo yupo hapa, au yuko kule, msisadiki;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Basi mtu akiwaambieni, ‘Tazama, Kristo yupo hapa,’ au ‘Yupo pale,’ msimsadiki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo mtu akiwaambia: Tazama, huyu hapa ni Kristo! au: Tazama, yule kule! msiitikie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wakati huo mtu akiwaambia, Tazama, Kristo yupo hapa, au yuko kule, msisadiki;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Kwa hiyo mutu akiwaambia: ‘Kristo yuko hapa!’ au ‘Yuko kule!’ musimusadiki.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na wakati huo mtu akiwaambieni, Tazama, Kristo yupo hapa, au yuko huko, msisadiki: