Mark 13:23 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini nyinyi jihadharini. Mimi nimewaambieni mambo yote kabla hayajatokea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo jihadharini. Nimekwisha kuwaambia mambo haya yote mapema kabla hayajatukia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali ninyi jihadharini; nimekwisha kuwaonya yote mbele.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kwa hiyo mjihadhari nimewaonya juu ya mambo haya kabla hayajatokea.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini ninyi jihadharini. Mimi nimewaambieni mambo yote kabla hayajatokea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini nyinyi jihadharini. Mimi nimewaambieni mambo yote kabla hayajatokea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo jihadharini, nimekwisha kuwaambia mambo haya yote mapema kabla hayajatukia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo jihadharini. Nimekwisha kuwaambia mambo haya yote mapema kabla hayajatukia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali ninyi jihadharini; nimekwisha kuwaonya yote mbele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini nyinyi jihadharini. Mimi nimewaambieni mambo yote kabla hayajatokea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini ninyi angalieni! Nimetangulia kuwaambia yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali ninyi jihadharini; nimekwisha kuwaonya yote mbele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini ninyi mujiangalie vizuri, kwa maana nimewaambia hayo yote mbele.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bali ninyi mwe macho: nimekwisha kuwaonyeni yote mbele.