Mark 13:24 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Basi, siku hizo, baada ya dhiki hiyo, jua litatiwa giza na mwezi hautaangaza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Lakini katika siku hizo, baada ya hiyo dhiki, “ ‘jua litatiwa giza nao mwezi hautatoa nuru yake;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini siku zile, baada ya dhiki hiyo, jua litatiwa giza, na mwezi hatautoa mwanga wake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini katika siku hizo, baada ya kipindi cha dhiki, ‘Jua litatiwa giza, mwezi hautatoa mwanga,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Basi, siku hizo baada ya dhiki hiyo, jua litatiwa giza na mwezi hautaangaza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Basi, siku hizo, baada ya dhiki hiyo, jua litatiwa giza na mwezi hautaangaza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Lakini katika siku hizo, baada ya hiyo dhiki, “ ‘jua litatiwa giza na mwezi hautatoa nuru yake;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Lakini katika siku hizo, baada ya hiyo dhiki, “ ‘jua litatiwa giza nao mwezi hautatoa nuru yake;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini siku zile, baada ya dhiki hiyo, jua litatiwa giza, na mwezi hautatoa mwanga wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Basi, siku hizo, baada ya dhiki hiyo, jua litatiwa giza na mwezi hautaangaza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini siku zile, yale maumivu yatakapopita, jua litakuwa jeusi lenye giza, nao mwezi hautaumulikisha mwanga wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini siku zile, baada ya dhiki hiyo, jua litatiwa giza, na mwezi hatautoa mwanga wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Lakini katika siku zile kisha mateso yale, jua litatiwa giza, mwezi hautaangaza,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini siku hizo baada ya shidda ile jua litatiwa giza, na mwezi hautatoa mwanga wake,