Mark 13:25 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyota zitaanguka kutoka angani, na nguvu za mbingu zitatikiswa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nazo nyota zitaanguka kutoka angani, na nguvu za anga zitatikisika.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na nyota za mbinguni zitakuwa zikianguka, na nguvu zilizo mbinguni zitatikisika.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
nyota zitaanguka kutoka angani, na mbingu yote itatikisika.’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nyota zitaanguka kutoka angani, na nguvu za mbingu zitatikiswa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyota zitaanguka kutoka angani, na nguvu za mbingu zitatikiswa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nyota zitaanguka kutoka angani, nazo nguvu za anga zitatikisika.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nazo nyota zitaanguka kutoka angani, na nguvu za anga zitatikisika.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na nyota za mbinguni zitakuwa zikianguka, na nguvu zilizo mbinguni zitatikisika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyota zitaanguka kutoka angani, na nguvu za mbingu zitatikiswa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nazo nyota zitakuwa zinaanguka toka mbinguni, nazo nguvu za mbingu zitatukutishwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na nyota za mbinguni zitakuwa zikianguka, na nguvu zilizo mbinguni zitatikisika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
nyota zitaanza kuanguka toka mbinguni na vyote vyenye nguvu vinavyokuwa katika mbingu vitatikiswa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
na nyota za mbinguni zitakuwa zikianguka, na nguvu zilizo mbinguni zitatikisika.