Mark 13:30 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nawaambieni kweli, kizazi hiki hakitapita kabla ya mambo hayo yote kutukia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Amin, nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yawe yametimia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amin, nawaambieni, Kizazi hiki hakitapita, hata hayo yote yatimie.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ninawaambieni ukweli: Kizazi hiki hakitapita kabla ya mambo haya yote hayajatokea.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nawaambieni kweli, kizazi hiki hakitapita kabla ya mambo hayo yote kutukia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nawaambieni kweli, kizazi hiki hakitapita kabla ya mambo hayo yote kutukia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Amin, amin nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yametukia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Amin, nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yawe yametimia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amin, nawaambieni, Kizazi hiki hakitapita, hata hayo yote yatimie.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nawaambieni kweli, kizazi hiki hakitapita kabla ya mambo hayo yote kutukia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli nawaambiani: Kizazi hiki hakitakoma mpaka hapo, yatakapokuwapo hayo yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amin, nawaambieni, Kizazi hiki hakitapita, hata hayo yote yatimie.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kweli ninawaambia: hiki kizazi chenu hakitapita mbele ya kutimia kwa mambo haya yote.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Amin, nawaambieni, Kizazi hiki hakitapita kabisa, hatta haya yote yapatapo kuwa.