Mark 13:4 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Tuambie mambo haya yatatukia lini? Ni ishara gani itakayoonesha kwamba mambo haya karibu yatimizwe?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Tafadhali tuambie, mambo haya yatatukia lini? Nayo dalili ya kuwa hayo yote yanakaribia kutimia itakuwa gani?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tuambie, mambo hayo yatakuwa lini? Nayo ni nini dalili ya wakati, hayo yote yatakapokuwa karibu kutimia?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
“Haya tuambie, ni lini mambo haya yatakapotokea? Ni ishara gani itakayoonesha ya kwamba yote yanakaribia kutimizwa?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Twambie mambo haya yatatukia lini? Ni ishara gani itakayoonyesha kwamba mambo haya karibu yatimizwe?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Tuambie mambo haya yatatukia lini? Ni ishara gani itakayoonesha kwamba mambo haya karibu yatimizwe?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Tafadhali tuambie, mambo haya yatatukia lini? Nayo ni nini ishara ya wakati hayo yote yanapokaribia kutimia?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Tafadhali tuambie, mambo haya yatatukia lini? Nayo dalili ya kuwa hayo yote yanakaribia kutimia itakuwa gani?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tuambie, mambo hayo yatakuwa lini? Nayo ni nini dalili ya wakati, hayo yote yatakapokuwa karibu kutimia?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Tuambie mambo haya yatatukia lini? Ni ishara gani itakayoonesha kwamba mambo haya karibu yatimizwe?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tuambie, hayo yatakuwapo lini? Tena kielekezo ni nini, hayo yote yatakapotimia?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tuambie, mambo hayo yatakuwa lini? Nayo ni nini dalili ya wakati, hayo yote yatakapokuwa karibu kutimia?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Utuambie, mambo hayo uliyotoka kusema yatakuwa wakati gani? Na ni kitambulisho gani kitakachoonyesha kwamba mambo hayo yote yanataka kutimia?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na nini dalili ya wakati hayo yote yatakapokuwa karibu kutimia?