Mark 13:6 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana wengi watakuja wakilitumia jina langu, kila mmoja akisema kuwa yeye ni mimi! Nao watawapotosha watu wengi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wengi watakuja kwa Jina langu wakidai, ‘Mimi ndiye,’ nao watawadanganya wengi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ndiye, nao watadanganya wengi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wengi watakuja huku wakilitumia Jina langu na kusema, ‘Mimi ndiye Masihi,’ nao watawadanganya wengi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana wengi watakuja wakilitumia jina langu, wakisema, Mimi ndiye! nao watawapotosha watu wengi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana wengi watakuja wakilitumia jina langu, kila mmoja akisema kuwa yeye ni mimi! Nao watawapotosha watu wengi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wengi watakuja kwa Jina langu wakidai, ‘Mimi ndiye,’ nao watawadanganya wengi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wengi watakuja kwa Jina langu wakidai, ‘Mimi ndiye,’ nao watawadanganya wengi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ndiye, nao watadanganya wengi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana wengi watakuja wakilitumia jina langu, kila mmoja akisema kuwa yeye ni mimi! Nao watawapotosha watu wengi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wengi watakuja kwa jina langu na kusema: Mimi ndiye,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ndiye, nao watadanganya wengi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wengi watakuja wakijiita kwa jina langu, wakisema: ‘Mimi ni Kristo!’ Nao watawadanganya wengi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mimi ndiye: na watadanganya wengi.