Mark 14:13 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi Yesu akawatuma wawili wa wanafunzi wake akiwaambia, “Nendeni mjini, na humo mtakutana na mwanamume mmoja anayebeba mtungi wa maji. Mfuateni
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi akawatuma wawili miongoni mwa wanafunzi wake, akawaambia, “Nendeni mjini. Huko mtakutana na mwanaume amebeba mtungi wa maji. Mfuateni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akatuma wawili katika wanafunzi wake, akawaambia, Nendeni zenu mjini; atakutana nanyi mwanamume amechukua mtungi wa maji; mfuateni;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo Yesu aliwatuma wanafunzi wake wawili, naye akawaeleza, “ingieni mjini, na mtakutana na mtu mmoja aliyebeba gudulia la maji. Mfuateni,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi Yesu akawatuma wawili wa wanafunzi wake akiwaambia, “Nendeni mjini, nanyi mtakutana na mtu anayebeba mtungi wa maji. Mfuateni
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi Yesu akawatuma wawili wa wanafunzi wake akiwaambia, “Nendeni mjini, na humo mtakutana na mwanamume mmoja anayebeba mtungi wa maji. Mfuateni
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi akawatuma wawili miongoni mwa wanafunzi wake, akawaambia, “Nendeni mjini, huko mtakutana na mwanaume amebeba mtungi wa maji. Mfuateni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi akawatuma wawili miongoni mwa wanafunzi wake, akawaambia, “Nendeni mjini. Huko mtakutana na mwanaume amebeba mtungi wa maji. Mfuateni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akatuma wawili katika wanafunzi wake, akawaambia, Nendeni zenu mjini; atakutana nanyi mwanamume amebeba mtungi wa maji; mfuateni;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi Yesu akawatuma wawili wa wanafunzi wake akiwaambia, “Nendeni mjini, na humo mtakutana na mwanamume mmoja anayebeba mtungi wa maji. Mfuateni
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawatuma wanafunzi wake wawili, akawaambia: Nendeni mjini! Humo mtakutana na mtu anayechukua mtungi wa maji, mfuateni!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akatuma wawili katika wanafunzi wake, akawaambia, Nendeni zenu mjini; atakutana nanyi mwanamume amechukua mtungi wa maji; mfuateni;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi Yesu akawatuma wawili kati ya wanafunzi wake akiwaambia: “Mwende katika muji, na kule mutakutana mutu mumoja anayebeba mutungi wenye maji. Mumufuate mutu yule,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akapeleka wawili katika wanafunzi wake, akawaambia, nendeni zenu mjini; atakutana nanyi mwanamume akichukua mtungi wa maji; mfuateni: