Mark 14:18 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walipokuwa mezani wakila, Yesu alisema, “Kweli nawaambieni, mmoja wenu anayekula pamoja nami, atanisaliti.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walipoketi mezani wakila, Isa akawaambia, “Amin, nawaambia, mmoja wenu atanisaliti, mmoja anayekula pamoja nami.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao walipokuwa wameketi chakulani, wakila, Yesu alisema, Amin, nawaambia, Mmoja wenu, naye anakula pamoja nami, atanisaliti.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wote walipokuwa wameketi mezani wakila, Yesu akasema, “Mniamini ninapowambia kwamba mmoja wenu, yule anayekula nami sasa atanitoa kwa maadui zangu.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Walipokuwa mezani wakila, Yesu alisema, “Kweli nawaambieni, mmoja wenu anayekula pamoja nami, atanisaliti.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walipokuwa mezani wakila, Yesu alisema, “Kweli nawaambieni, mmoja wenu anayekula pamoja nami, atanisaliti.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walipokwisha kuketi kwenye nafasi zao, wakati wakila Yesu akawaambia, “Amin, nawaambia, mmoja wenu atanisaliti, yaani, yeye anayekula pamoja nami.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walipoketi mezani wakila, Isa akawaambia, “Amin, nawaambia, mmoja wenu atanisaliti, mmoja anayekula pamoja nami.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao walipokuwa wameketi chakulani, wakila, Yesu alisema, Amin, nawaambia, Mmoja wenu, naye anakula pamoja nami, atanisaliti.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walipokuwa mezani wakila, Yesu alisema, “Kweli nawaambieni, mmoja wenu anayekula pamoja nami, atanisaliti.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipokaa wakila, Yesu akasema: Kweli nawaambiani: Mwenzenu mmoja anayekula pamoja nami atanichongea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao walipokuwa wameketi chakulani, wakila, Yesu alisema, Amin, nawaambia, Mmoja wenu, naye anakula pamoja nami, atanisaliti.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walipokuwa wameikaa kula chakula, Yesu akasema: “Kweli ninawaambia: mumoja kati yenu anayekula pamoja nami atanitoa.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nao wakiisha kuketi chakulani, wakila, Yesu akasema, Amin, nawaambieni, mmoja wenu, nae anakula pamoja nami, atanisaliti.