Mark 14:24 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akawaambia, “Hii ni damu yangu inayothibitisha agano la Mungu, damu inayomwagwa kwa ajili ya watu wengi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akawaambia, “Hii ndiyo damu yangu ya agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaambia, Hii ndiyo damu yangu ya agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha akasema, “Kinywaji hiki ni damu yangu ambayo kwayo Mungu anafanya agano na watu wake. Damu yangu inamwagika kwa manufaa ya watu wengi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Akawaambia, “Hii ni damu yangu inayothibitisha agano la Mungu, damu inayomwagwa kwa ajili ya watu wengi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akawaambia, “Hii ni damu yangu inayothibitisha agano la Mungu, damu inayomwagwa kwa ajili ya watu wengi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akawaambia, “Hii ndiyo damu yangu ya Agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akawaambia, “Hii ndiyo damu yangu ya agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaambia, Hii ndiyo damu yangu ya agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akawaambia, “Hii ni damu yangu inayothibitisha agano la Mungu, damu inayomwagwa kwa ajili ya watu wengi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akawaambia: Hii ndiyo damu yangu ya Agano Jipya inayomwagwa kwa ajili ya wengi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaambia, Hii ndiyo damu yangu ya agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na Yesu akawaambia: “Hii ni damu yangu; damu inayomwangika kwa ajili ya watu wengi kwa kuhakikisha agano la Mungu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akawaambia, Hii ni damu yangu, ya agano jipya, imwagikayo kwa ajili ya watu wengi.