Mark 14:32 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wakafika katika bustani iliyoitwa Gethsemane. Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Kaeni hapa wakati mimi nasali.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakaenda mahali paitwapo Gethsemane. Isa akawaambia wanafunzi wake, “Kaeni hapa, nami niende nikaombe.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha wakaja mpaka bustani iitwayo Gethsemane; akawaambia wanafunzi wake, Ketini hapa muda niombapo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha wakafika mahali palipoitwa Gethsemane. Hapo Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Kaeni hapa wakati ninaomba.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, wakafika katika bustani iitwayo Gethsemane. Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Kaeni hapa wakati mimi nasali.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wakafika katika bustani iliyoitwa Gethsemane. Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Kaeni hapa wakati mimi nasali.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakaenda mahali paitwapo Gethsemane, Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Kaeni hapa wakati ninakwenda kule kuomba.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakaenda mahali paitwapo Gethsemane. Isa akawaambia wanafunzi wake, “Kaeni hapa, nami niende nikaombe.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha wakaja mpaka katika bustani iitwayo Gethsemane; akawaambia wanafunzi wake, Ketini hapa pindi niombapo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wakafika katika bustani iliyoitwa Gethsemane. Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Kaeni hapa wakati mimi nasali.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipofika mahali, jina lake Getisemane, akawaambia wanafunzi wake: Kaeni hapa, mpaka niishe kuomba!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha wakaja mpaka bustani iitwayo Gethsemane; akawaambia wanafunzi wake, Ketini hapa muda niombapo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakafika katika bustani inayoitwa Getesemane, na Yesu akawaambia wanafunzi wake: “Muikae hapa kwa wakati mimi nitakapokuwa nikiomba.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Tena wakaja mahali jina lake Gethsemane; akawaambia wanafunzi wake, Ketini hapa muda nisalipo.