Mark 14:35 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akaenda mbele kidogo, akajitupa chini kifudifudi, akasali kwamba, kama ingewezekana, asiipitie saa hiyo ya mateso.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akaenda mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akaomba kwamba kama ingewezekana saa hiyo ya mateso imwondokee.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akiomba ya kuwa, ikiwezekana, saa hiyo imwepuke.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Akiendelea mbele kidogo, alianguka chini, na akaomba ikiwezekana angeiepuka saa ya mateso.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Akaenda mbele kidogo, akajitupa chini kifudifudi, akasali kwamba, kama ingewezekana, asiipitie saa hiyo ya mateso.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akaenda mbele kidogo, akajitupa chini kifudifudi, akasali kwamba, kama ingewezekana, asiipitie saa hiyo ya mateso.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akaenda mbele kidogo, akajitupa chini kifudifudi akaomba akisema, kama ikiwezekana saa hiyo ya mateso imwepuke.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akaenda mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akaomba kwamba kama ingewezekana saa hiyo ya mateso imwondokee.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akiomba ya kuwa, ikiwezekana, saa hiyo imwepuke.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akaenda mbele kidogo, akajitupa chini kifudifudi, akasali kwamba, kama ingewezekana, asiipitie saa hiyo ya mateso.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka chini, akaomba, ikiwezekana, saa hiyo impite, isimfikie.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akiomba ya kuwa, ikiwezekana, saa hiyo imwepuke.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha akajitenga mbali kidogo nao, akajitupa chini. Akaomba kwamba ikiwezekana, saa ile ya mateso imuondokee mbali.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akiomha, ya kuwa, ikiwezekana, saa hii impitie.