Mark 14:37 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha akarudi kwa wanafunzi wale watatu, akawakuta wamelala. Basi, akamwuliza Petro, “Simoni, je, umelala? Hukuweza kukesha hata saa moja?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akarudi kwa wanafunzi wake, akawakuta wamelala. Akamwambia Petro, “Simoni, umelala? Je, hukuweza kukesha hata kwa saa moja?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaja akawakuta wamelala usingizi, akamwambia Petro, Je! Simoni, umelala? Hukuweza kukesha saa moja?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha Yesu akaja na kuwakuta wamelala, na akamwuliza Petro, “Simoni, je umelala? Je, hukuweza kukaa macho kwa muda wa saa moja tu?
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kisha akarudi kwa wanafunzi wale watatu, akawakuta wamelala. Basi, akamwuliza Petro, “Simoni, je umelala? Hukuweza kukesha hata saa moja?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha akarudi kwa wanafunzi wale watatu, akawakuta wamelala. Basi, akamwuliza Petro, “Simoni, je, umelala? Hukuweza kukesha hata saa moja?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akarudi kwa wanafunzi wake akawakuta wamelala, naye akamwambia Petro, “Simoni, umelala? Je, hukuweza kukesha hata kwa saa moja?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akarudi kwa wanafunzi wake, akawakuta wamelala. Akamwambia Petro, “Simoni, umelala? Je, hukuweza kukesha hata kwa saa moja?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaja akawakuta wamelala usingizi, akamwambia Petro, Je! Simoni, umelala? Hukuweza kukesha saa moja?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha akarudi kwa wanafunzi wale watatu, akawakuta wamelala. Basi, akamwuliza Petro, “Simoni, je, umelala? Hukuweza kukesha hata saa moja?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipokuja akawakuta, wamelala usingizi, akamwambia Petero: Simoni, umelala usingizi? Hukuweza kukesha saa moja tu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaja akawakuta wamelala usingizi, akamwambia Petro, Je! Simoni, umelala? Hukuweza kukesha saa moja?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliporudi akawakuta wamelala usingizi. Akamwambia Petro: “Simoni, umelala? Haukuweza kukesha hata kwa saa moja tu?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akaenda akawakuta wamelala, akamwambia Petro, Simon, umelala? Hukuweza kukesha saa moja?