Mark 14:40 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha akarudi tena, akawakuta wamelala. Macho yao yalikuwa yamebanwa na usingizi. Hawakujua la kumjibu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Aliporudi, akawakuta tena wamelala kwa sababu macho yao yalikuwa mazito. Nao hawakujua la kumwambia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaja tena akawakuta wamelala, maana macho yao yamekuwa mazito, wala hawakujua la kumjibu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha akarudi tena na kuwakuta wamelala, kwani macho yao yalikuwa yamechoka. Wao hawakujua la kusema kwake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kisha akarudi tena, akawakuta wamelala. Macho yao yalikuwa yamebanwa na usingizi. Hawakujua la kumjibu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha akarudi tena, akawakuta wamelala. Macho yao yalikuwa yamebanwa na usingizi. Hawakujua la kumjibu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aliporudi kwa wanafunzi wake, akawakuta tena wamelala, kwa sababu macho yao yalikuwa mazito. Nao hawakujua la kumwambia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Aliporudi, akawakuta tena wamelala kwa sababu macho yao yalikuwa mazito. Nao hawakujua la kumwambia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaja tena akawakuta wamelala, maana macho yao yamekuwa mazito, wala hawakujua la kumjibu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha akarudi tena, akawakuta wamelala. Macho yao yalikuwa yamebanwa na usingizi. Hawakujua la kumjibu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipokuja tena akawakuta, wamelala usingizi, kwani macho yao yalikuwa mazito, hawakujua ya kumjibu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaja tena akawakuta wamelala, maana macho yao yamekuwa mazito, wala hawakujua la kumjibu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliporudi tena, akawakuta wanafunzi wale wamelala usingizi, kwa maana macho yao yalikuwa yamewezwa sana na usingizi. Nao hawakujua wamujibu nini.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta akaenda akawakuta wamelala tena, maana macho yao yanickuwa mazito, wala hawakujua la kumjibu.