Mark 14:42 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Amkeni, twende zetu. Tazameni, yule atakayenisaliti amekaribia.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Inukeni, twende zetu! Tazameni, msaliti wangu yuaja!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ondokeni, twendeni zetu; tazama, yule anayenisaliti amekaribia.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Amkeni! Twendeni! Tazama! Yule atakayenisaliti amekaribia.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Amkeni, twendeni zetu. Tazameni, yule atakayenisaliti amekaribia.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Amkeni, twende zetu. Tazameni, yule atakayenisaliti amekaribia.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Amkeni! Twendeni zetu! Tazameni, msaliti wangu yuaja!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Inukeni, twende zetu! Tazameni, msaliti wangu yuaja!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ondokeni, twendeni zetu; tazama, yule anayenisaliti amekaribia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Amkeni, twende zetu. Tazameni, yule atakayenisaliti amekaribia.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Inukeni, twende! Tazameni, mwenye kunichongea yuko karibu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ondokeni, twendeni zetu; tazama, yule anayenisaliti amekaribia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musimame, tuende! Yule anayenitoa, amefika karibu!”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ondokeni, twende; tazama, yeye anaenisaliti amekaribia.