Mark 14:44 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msaliti Yuda alikuwa amewapa ishara: “Yule nitakayembusu ndiye; mkamateni na kumpeleka chini ya ulinzi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi msaliti alikuwa amewapa hao watu ishara, kwamba: “Yule nitakayembusu ndiye. Mkamateni, mkamchukue chini ya ulinzi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na yule anayemsaliti alikuwa amewapa ishara, akisema, Nitakayembusu, huyo ndiye; mkamateni, mkamchukue salama.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Msaliti alikuwa tayari amewapa ishara: “Yule ambaye nitambusu ndiye mwenyewe. Mkamateni, mlindeni na muwe waangalifu mnapomwondoa.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Msaliti Yuda alikuwa amewapa ishara: “Yule nitakayembusu ndiye; mkamateni, mkampeleke chini ya ulinzi.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msaliti Yuda alikuwa amewapa ishara: “Yule nitakayembusu ndiye; mkamateni na kumpeleka chini ya ulinzi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Yuda, yule msaliti, alikuwa amewapa ishara wale watu kuwa: “Yule nitakayembusu, ndiye, mkamateni na mchukueni akiwa chini ya ulinzi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi msaliti alikuwa amewapa hao watu ishara, kwamba: “Yule nitakayembusu ndiye. Mkamateni, mkamchukue chini ya ulinzi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na yule anayemsaliti alikuwa amewapa ishara, akisema, Nitakayembusu, huyo ndiye; mkamateni na kumpeleka chini ya ulinzi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msaliti Yuda alikuwa amewapa ishara: “Yule nitakayembusu ndiye; mkamateni na kumpeleka chini ya ulinzi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mwenye kumchongea alikuwa amewapa kielekezo akisema: Nitakayemnonea ndiye, mkamateni, mwende naye mkimwangalia sana!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na yule anayemsaliti alikuwa amewapa ishara, akisema, Nitakayembusu, huyo ndiye; mkamateni, mkamchukue salama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yuda, yule aliyekuwa amemutoa, alikuwa amekwisha kuwapa kitambulisho hiki: “Yule nitakayemubusu, ndiye yeye. Mumukamate na mumupeleke, mukimulinda vizuri.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na yeye anaemsaliti amewapa ishara, akisema, Nitakaembusu, ndiye; mkamateni, mehukueni salama.