Mark 14:45 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yuda alipofika tu, alimwendea Yesu moja kwa moja, akamwambia, “Mwalimu!” Kisha akambusu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mara Yuda akamjia Isa na kusema, “Mwalimu.” Akambusu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi alipokuja, mara akamwendea, akasema, Rabi, akambusu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mara tu Yuda alipowasili, alimwendea Yesu. Alipomkaribia alisema, “Mwalimu!” Kisha akambusu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yuda alipofika tu, alimwendea Yesu moja kwa moja, akasema, “Mwalimu!” Kisha akambusu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yuda alipofika tu, alimwendea Yesu moja kwa moja, akamwambia, “Mwalimu!” Kisha akambusu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Yuda alipofika, akamwendea Yesu akamwambia, “Rabi” na kumbusu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mara Yuda akamjia Isa na kusema, “Mwalimu.” Akambusu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi alipokuja, mara akamwendea, akasema, Rabi, akambusu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yuda alipofika tu, alimwendea Yesu moja kwa moja, akamwambia, “Mwalimu!” Kisha akambusu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye alipofika, mara akamjia, akasema: Mfunzi mkuu! akamnonea;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi alipokuja, mara akamwendea, akasema, Rabi, akambusu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yuda alipofika, mara moja akamujongelea Yesu na kumwambia: “Mwalimu!” Kisha akamubusu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Alipokuja, marra akamwendea, akasema, Rabbi, Rabbi; akambusu sana.