Mark 14:49 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila siku nilikuwa pamoja nanyi nikifundisha hekaluni, wala hamkunikamata. Lakini sasa lazima Maandiko Matakatifu yatimie.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku kwa siku nilikuwa pamoja nanyi nikifundisha Hekaluni, wala hamkunikamata. Lakini Maandiko sharti yatimie.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kila siku nalikuwa mbele yenu hekaluni nikifundisha, msinikamate; lakini haya yamekuwa ili maandiko yapate kutimia.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kila siku nilikuwa nanyi, nikifundisha Hekaluni na hamkujaribu kunikamata wakati huo. Lakini Maandiko lazima yatimie.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kila siku nilikuwa pamoja nanyi nikifundisha Hekaluni, wala hamkunikamata. Lakini sasa lazima Maandiko Matakatifu yatimie.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila siku nilikuwa pamoja nanyi nikifundisha hekaluni, wala hamkunikamata. Lakini sasa lazima Maandiko Matakatifu yatimie.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku zote nilikuwa pamoja nanyi nikifundisha Hekaluni, wala hamkunikamata. Lakini maandiko na yatimie.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku kwa siku nilikuwa pamoja nanyi nikifundisha Hekaluni, wala hamkunikamata. Lakini Maandiko sharti yatimie.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kila siku nilikuwa mbele yenu hekaluni nikifundisha, msinikamate; lakini haya yamekuwa ili maandiko yapate kutimia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila siku nilikuwa pamoja nanyi nikifundisha hekaluni, wala hamkunikamata. Lakini sasa lazima Maandiko Matakatifu yatimie.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kila siku nilikuwa kwenu hapo Patakatifu nikifundisha, lakini hamkunikamata; lakini yamekuwapo, Maandiko yatimizwe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kila siku nalikuwa mbele yenu hekaluni nikifundisha, msinikamate; lakini haya yamekuwa ili maandiko yapate kutimia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku zote nilikuwa pamoja nanyi, nami nilifundisha ndani ya hekalu, nanyi hamukunikamata. Lakini mambo haya yamefanyika kusudi Maandiko Matakatifu yatimizwe.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Killa siku nalikuwa mbele yenu bekaluni nikifundisha, wala hamkunikamata: lakini maandiko yapate kutimia.