Mark 14:51 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kulikuwa na kijana mmoja aliyekuwa anamfuata Yesu akiwa amevaa shuka. Nao wakajaribu kumkamata.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kijana mmoja, aliyekuwa amevaa nguo ya kitani pekee, alikuwa akimfuata Isa. Walipomkamata,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kijana mmoja alimfuata, amejitanda mwili wake nguo ya kitani; wakamkamata;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Miongoni mwa watu waliomfuata Yesu alikuwa kijana mmoja aliyevaa kipande cha nguo. Watu walipotaka kumkamata
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kulikuwa na kijana mmoja aliyekuwa anamfuata Yesu akiwa amevaa shuka. Nao wakajaribu kumkamata.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kulikuwa na kijana mmoja aliyekuwa anamfuata Yesu akiwa amevaa shuka. Nao wakajaribu kumkamata.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kijana mmoja, ambaye hakuwa amevaa kitu isipokuwa alijitanda nguo ya kitani, alikuwa akimfuata Yesu. Wakamkamata,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kijana mmoja, ambaye hakuwa amevaa kitu isipokuwa alijitanda nguo ya kitani, alikuwa akimfuata Isa. Walipomkamata,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kijana mmoja alimfuata, akiwa amejitanda mwili wake nguo ya kitani; wakamkamata;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kulikuwa na kijana mmoja aliyekuwa anamfuata Yesu akiwa amevaa shuka. Nao wakajaribu kumkamata.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kulikuwa na kijana mmoja aliyefuatana naye, alikuwa ameufunika uchi wake kwa kitambaa cha bafta tu. Lakini walipomkamata,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kijana mmoja alimfuata, amejitanda mwili wake nguo ya kitani; wakamkamata;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kijana mumoja aliyevaa shuka akaendelea kumufuata Yesu. Walijaribu kumukamata,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na kijana mmoja alimfuata, amejitanda nguo ya katani;