Mark 14:52 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini yeye akaponyoka, akaiachilia ile shuka, akakimbia uchi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
alikimbia uchi, akaliacha vazi lake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
naye akaiacha ile nguo ya kitani, akakimbia yu uchi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
alikiacha kile kipande cha nguo mikononi mwao na kukimbia akiwa uchi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini yeye akaponyoka, akaiachilia ile shuka, akakimbia uchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini yeye akaponyoka, akaiachilia ile shuka, akakimbia uchi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
akakimbia uchi, akaliacha vazi lake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
alikimbia uchi, akaliacha vazi lake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
naye akaiacha ile nguo ya kitani, akakimbia akiwa uchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini yeye akaponyoka, akaiachilia ile shuka, akakimbia uchi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akakiacha kile kitambaa cha bafta, akakimbia mwenye uchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
naye akaiacha ile nguo ya kitani, akakimbia yu uchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
lakini akaachilia shuka ile na kukimbia uchi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wakamkamata; nae akaiacha ile nguo ya katani, akawakimbia, yu uchi.