Mark 14:56 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wengi walitoa ushahidi wa uongo juu ya Yesu, lakini ushahidi wao haukupatana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wengi walitoa ushahidi wa uongo dhidi yake, lakini maelezo yao hayakukubaliana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana wengi walimshuhudia uongo, walakini ushuhuda wao haukupatana.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watu wengi walikuja na kutoa ushahidi wa uongo dhidi yake, lakini wote walisema vitu tofauti. Ushahidi wao ulipingana.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Watu wengi walitoa ushahidi wa uongo juu ya Yesu, lakini ushahidi wao haukupatana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wengi walitoa ushahidi wa uongo juu ya Yesu, lakini ushahidi wao haukupatana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wengi wakatoa ushahidi wa uongo dhidi yake, lakini maelezo yao hayakukubaliana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wengi walitoa ushahidi wa uongo dhidi yake, lakini maelezo yao hayakukubaliana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana wengi walimshuhudia uongo, lakini ushuhuda wao haukupatana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wengi walitoa ushahidi wa uongo juu ya Yesu, lakini ushahidi wao haukupatana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani wengi walimshuhudia ya uwongo, lakini ushuhuda wao haukupatana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana wengi walimshuhudia uongo, walakini ushuhuda wao haukupatana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wengi walimushuhudia uongo, lakini ushuhuda wao haukupatana.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa maana wengi walimshuhudia uwongo, na ushuhuda wao haukupatana.