Mark 14:57 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha wengine walisimama, wakatoa ushahidi wa uongo wakisema:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo wengine wakasimama wakatoa ushahidi wa uongo dhidi yake, wakisema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata wengine wakasimama, wakamshuhudia uongo, wakisema,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha wengine walisimama na kushuhudia kinyume chake kwa uongo, wakisema,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kisha wengine walisimama, wakatoa ushahidi wa uongo wakisema:
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha wengine walisimama, wakatoa ushahidi wa uongo wakisema:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo wengine wakasimama wakatoa ushahidi wa uongo dhidi yake, wakisema,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo wengine wakasimama wakatoa ushahidi wa uongo dhidi yake, wakisema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata wengine wakasimama, wakamshuhudia uongo, wakisema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha wengine walisimama, wakatoa ushahidi wa uongo wakisema:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wakainuka wengine, wakamshuhudia ya uwongo na kusema:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata wengine wakasimama, wakamshuhudia uongo, wakisema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata wengine wakasimama kwa kutoa ushuhuda huu wa uongo juu yake wakisema:
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta watu wakasimama wakamshubudia kwa uwonoo, wakisema,