Mark 14:63 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo kuhani mkuu akararua joho lake, akasema, “Tuna haja gani tena ya mashahidi?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuhani mkuu akayararua mavazi yake, akasema, “Tuna haja gani tena ya mashahidi zaidi?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kuhani Mkuu akararua nguo zake, akisema, Tuna haja gani tena ya mashahidi?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kuhani mkuu alichana mavazi yake na kusema, “Tuna haja gani ya kuleta mashahidi zaidi?
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hapo Kuhani Mkuu akararua joho lake, akasema, “Tuna haja gani tena ya mashahidi?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo kuhani mkuu akararua joho lake, akasema, “Tuna haja gani tena ya mashahidi?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuhani Mkuu akararua mavazi yake, akasema, “Tuna haja gani tena ya mashahidi zaidi?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuhani mkuu akararua mavazi yake, akasema, “Tuna haja gani tena ya mashahidi zaidi?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kuhani Mkuu akararua nguo zake, akisema, Tuna haja gani tena ya mashahidi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo kuhani mkuu akararua joho lake, akasema, “Tuna haja gani tena ya mashahidi?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, mtambikaji mkuu alipozirarua nguo zake, akasema: Mashahidi tunawatakia nini tena?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kuhani Mkuu akararua nguo zake, akisema, Tuna haja gani tena ya mashahidi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati Kuhani Mukubwa aliposikia maneno haya, akapasua nguo zake, na kusema: “Hatuhitaji tena ushuhuda wowote juu ya mutu huyu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kuhani mkuu akararua nguo zake, akisema, Tuna baja gani ya mashahidi wengine?