Mark 14:64 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mmesikia kufuru yake! Nyinyi mwaonaje?” Wote wakaamua kwamba anastahili kuuawa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninyi mmesikia alivyokufuru. Uamuzi wenu ni gani?” Wote wakamhukumu kwamba anastahili kifo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mmesikia kufuru yake; mwaonaje ninyi? Wote wakamhukumu kuwa imempasa kuuawa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ninyi wote mmesikia akimtolea Mungu matusi.” Wote walimhukumu na kumwona kwa anastahili kifo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mmesikia kufuru yake! Ninyi mwaonaje?” Wote wakaamua kwamba anastahili kuuawa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mmesikia kufuru yake! Nyinyi mwaonaje?” Wote wakaamua kwamba anastahili kuuawa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninyi mmesikia hayo makufuru. Uamuzi wenu ni nini?” Wote wakamhukumu kwamba anastahili kifo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninyi mmesikia hayo makufuru. Uamuzi wenu ni gani?” Wote wakamhukumu kwamba anastahili kifo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mmesikia kufuru yake; mwaonaje ninyi? Wote wakamhukumu kuwa imempasa kuuawa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mmesikia kufuru yake! Nyinyi mwaonaje?” Wote wakaamua kwamba anastahili kuuawa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mmesikia, anavyombeza Mungu. Mwaonaje? Nao wote wakamhukumu kwamba: Amepaswa na kufa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mmesikia kufuru yake; mwaonaje ninyi? Wote wakamhukumu kuwa imempasa kuuawa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumesikia wenyewe jinsi alivyomutukana Mungu. Munawaza nini?” Wote wakamuhukumu kwamba anastahili kufa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mmesikia kufuru yake; mwaonaje? Wote wakamhukumu kuwa amepasiwa kufa.