Mark 14:66 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Petro alipokuwa bado chini uani, mmoja wa watumishi wa kike wa kuhani mkuu alikuja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Petro alipokuwa bado yuko chini uani, tazama akaja mmoja wa wajakazi wa kuhani mkuu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Petro alikuwa chini behewani; akaja mmoja wa vijakazi wa Kuhani Mkuu,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wakati Petro alipokuwa bado barazani, mtumishi wa kike wa kuhani mkuu alifika pale.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Petro alipokuwa bado chini ukumbini, mmoja wa wajakazi wa kuhani Mkuu alikuja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Petro alipokuwa bado chini uani, mmoja wa watumishi wa kike wa kuhani mkuu alikuja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Petro alipokuwa bado yuko chini kwenye ua wa jumba la kifalme, tazama akaja mmoja wa watumishi wa kike wa Kuhani Mkuu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Petro alipokuwa bado yuko chini kwenye ua wa jumba la kifalme, tazama akaja mmoja wa watumishi wa kike wa kuhani mkuu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Petro alikuwa chini behewani; akaja mmoja wa vijakazi wa Kuhani Mkuu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Petro alipokuwa bado chini uani, mmoja wa watumishi wa kike wa kuhani mkuu alikuja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Petero alipokuwa amekaa chini uani, akaja mmoja wao vijakazi wa mtambikaji mkuu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Petro alikuwa chini behewani; akaja mmoja wa vijakazi wa Kuhani Mkuu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Petro alipokuwa angali chini ndani ya upango, mumoja wa watumishi wanawake wa Kuhani Mukubwa akafika pale.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na Petro alikuwa chini sebuleni, akaja mmoja wa vijakazi wa kuhani mkuu: akamwona Petro akikota moto;