Mark 14:68 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Petro akakana, “Sijui, wala sielewi unayosema!” Kisha Petro akaondoka, akaenda nje uani. Hapo jogoo akawika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Petro akakana, akasema, “Sijui wala sielewi unalosema.” Naye akaondoka kuelekea kwenye njia ya kuingilia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akakana, akasema, Sijui wala sisikii unayoyasema wewe. Akatoka nje hata ukumbini; jogoo akawika.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini Petro alisema, “Hii si kweli, mie sifahamu wala kuelewa kile unachokisema.” Baada ya hapo Petro alitoka na kwenda barazani na hapo hapo jogoo akawika.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini Petro akakana, “Sijui, wala sielewi unayosema!” Kisha Petro akaondoka, akaenda nje uani. Hapo jogoo akawika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Petro akakana, “Sijui, wala sielewi unayosema!” Kisha Petro akaondoka, akaenda nje uani. Hapo jogoo akawika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Petro akakana, akasema, “Sijui wala sielewi unalosema.” Naye akaondoka kuelekea kwenye njia ya kuingilia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Petro akakana, akasema, “Sijui wala sielewi unalosema.” Naye akaondoka kuelekea kwenye njia ya kuingilia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akakana, akasema, Sijui wala sisikii unayoyasema wewe. Akatoka nje hadi ukumbini; jogoo akawika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Petro akakana, “Sijui, wala sielewi unayosema!” Kisha Petro akaondoka, akaenda nje uani. Hapo jogoo akawika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akakana akisema: Sijui, wala sitambui, wewe unayoyasema. Kisha akatoka kufika nje ukumbini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akakana, akasema, Sijui wala sisikii unayoyasema wewe. Akatoka nje hata ukumbini; jogoo akawika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Petro akakana, akisema: “Sijui wala sifahamu maneno unayotaka kusema.” Kisha akatoka inje ya upango na kwenda kwenye kiingilio cha mulango. [Jogoo akawika.]
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akakana, akasema, Sijui wala si sikii usemavyo. Akatoka nje hatta ukumbini; jogoo akawika.