Mark 14:69 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yule mtumishi alipomwona tena Petro, akaanza tena kuwaambia watu waliokuwa wamesimama hapo, “Mtu huyu ni mmoja wao.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yule mjakazi alipomwona mahali pale, akawaambia tena wale waliokuwa wamesimama hapo, “Huyu mtu ni mmoja wao.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na yule kijakazi akamwona tena, akaanza tena kuwaambia waliosimama pale, Huyu ni mmoja wao.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yule mtumishi wa kike alipomwona alirudia tena kuwaeleza wale waliokuwa wamesimama pale, “Mtu huyu ni mmoja wao!”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yule mjakazi alipomwona tena Petro, akaanza tena kuwaambia watu waliokuwa wamesimama hapo, “Mtu huyu ni mmoja wao.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yule mtumishi alipomwona tena Petro, akaanza tena kuwaambia watu waliokuwa wamesimama hapo, “Mtu huyu ni mmoja wao.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yule mtumishi wa kike alipomwona hapo mahali, akawaambia tena wale waliokuwa wamesimama hapo, “Huyu mtu ni mmoja wao.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yule mtumishi wa kike alipomwona mahali pale, akawaambia tena wale waliokuwa wamesimama hapo, “Huyu mtu ni mmoja wao.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na yule kijakazi akamwona tena, akaanza tena kuwaambia waliosimama pale, Huyu ni mmoja wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yule mtumishi alipomwona tena Petro, akaanza tena kuwaambia watu waliokuwa wamesimama hapo, “Mtu huyu ni mmoja wao.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yule kijakazi alipomwona, akaanza tena kuwaambia waliosimama pale: Huyu ni mwenzao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na yule kijakazi akamwona tena, akaanza tena kuwaambia waliosimama pale, Huyu ni mmoja wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule mutumishi mwanamuke akamwona pale, akaanza tena kuwaambia wale waliokuwa pale: “Huyu mutu ni mumoja wao!”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na yule kijakazi akamwona tena, akaanza kuwaambia waliohudhuria, Huyu ni mmoja wao. Akakana tena.