Mark 14:8 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye amefanya alivyoweza; ameupaka mwili wangu marashi kuutayarisha kwa mazishi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huyu mwanamke amenitendea lile aliloweza. Ameumiminia mwili wangu manukato ili kuniandaa kwa maziko yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ametenda alivyoweza; ametangulia kuupaka mwili wangu marhamu kwa ajili ya maziko.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yeye amefanya kile alichokiweza kufanya. Ameumwagia manukato mwili wangu kabla ya wakati kuuandaa kwa ajili ya maziko.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yeye amefanya alivyoweza; ameupaka mwili wangu marashi kuutayarisha kwa maziko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye amefanya alivyoweza; ameupaka mwili wangu marashi kuutayarisha kwa mazishi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huyu mwanamke amenitendea lile aliloweza. Ameutia mwili wangu manukato kuniandaa kwa maziko yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huyu mwanamke amenitendea lile aliloweza. Ameumiminia mwili wangu manukato ili kuniandaa kwa maziko yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ametenda alivyoweza; ametangulia kuupaka mwili wangu marhamu kwa ajili ya maziko.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye amefanya alivyoweza; ameupaka mwili wangu marashi kuutayarisha kwa mazishi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Amefanya, alivyoweza; ameanza kuupaka mwili wangu mafuta haya, autengenezee kuzikwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ametenda alivyoweza; ametangulia kuupaka mwili wangu marhamu kwa ajili ya maziko.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Amefanya sawa alivyoweza. Ameupakaa mwili wangu marasi mbele ya wakati kwa kuutayarisha kwa ajili ya maziko.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ametenda alivyoweza; amenipaka mwili marhamu kwa ajili ya maziko yangu.