Mark 15:10 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alisema hivyo kwa sababu alijua wazi kwamba makuhani wakuu walimkabidhi Yesu kwake kwa sababu ya wivu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana yeye alitambua kuwa viongozi wa makuhani walikuwa wamemtia Isa mkononi mwake kwa ajili ya wivu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana alitambua ya kuwa wakuu wa makuhani wamemtoa kwa husuda.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Pilato alilisema hili kwa sababu alijua kuwa viongozi wa makuhani walimleta kwake kwa ajili ya wivu tu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Alisema hivyo kwa sababu alijua wazi kwamba makuhani wakuu walimkabidhi Yesu kwake kwa sababu ya wivu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alisema hivyo kwa sababu alijua wazi kwamba makuhani wakuu walimkabidhi Yesu kwake kwa sababu ya wivu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana yeye alitambua kuwa viongozi wa makuhani walikuwa wamemtia Yesu mikononi mwake kwa ajili ya wivu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana yeye alitambua kuwa viongozi wa makuhani walikuwa wamemtia Isa mikononi mwake kwa ajili ya wivu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana alitambua ya kuwa wakuu wa makuhani wamemtoa kwa husuda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alisema hivyo kwa sababu alijua wazi kwamba makuhani wakuu walimkabidhi Yesu kwake kwa sababu ya wivu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani alitambua, ya kuwa watambikaji wakuu walikuwa wamemtoa kwa wivu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana alitambua ya kuwa wakuu wa makuhani wamemtoa kwa husuda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alisema vile kwa maana alitambua kwamba wakubwa wa makuhani wamemutoa Yesu kwa sababu walimwonea wivu tu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa maana alifahamu ya kuwa makuhani wakuu wamemtoa kwa husuda.