Mark 15:13 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wote wakapaza sauti tena: “Msulubishe!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakapiga kelele, wakisema, “Msulubishe!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakapiga kelele tena, Msulibishe.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wakapiga kelele “Muue kwenye msalaba.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Watu wote wakapaaza sauti tena: “Msulubishe!”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wote wakapaza sauti tena: “Msulubishe!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakapiga kelele wakisema, “Msulibishe!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakapiga kelele wakisema, “Msulubishe!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakapiga kelele tena, Msulubishe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wote wakapaza sauti tena: “Msulubishe!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakapiga kelele tena kwamba: Mwambe msalabani!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakapiga kelele tena, Msulibishe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakapiga kelele tena wakisema: “Atundikwe juu ya musalaba!”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakapiga kelele tena, Msulibishe.