Mark 15:17 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakamvika vazi la rangi ya zambarau, wakasokota taji ya miiba, wakamwekea kichwani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakamvalisha Isa joho la zambarau, wakasokota taji la miiba, wakamvika kichwani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamvika vazi la rangi ya zambarau, wakasokota taji ya miiba, wakamtia kichwani;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wakamvalisha Yesu joho la zambarau na wakafuma taji ya miiba na kumvisha kichwani.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wakamvika vazi la rangi ya zambarau, wakasokota taji ya miiba, wakamwekea kichwani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakamvika vazi la rangi ya zambarau, wakasokota taji ya miiba, wakamwekea kichwani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakamvalisha Yesu joho la zambarau, wakasokota taji ya miiba, wakamvisha kichwani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakamvalisha Isa joho la zambarau, wakasokota taji ya miiba, wakamvika kichwani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamvika vazi la rangi ya zambarau, wakasokota taji la miiba, wakamtia kichwani;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakamvika vazi la rangi ya zambarau, wakasokota taji ya miiba, wakamwekea kichwani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakamvika nguo nyekundu, wakasuka kilemba cha miiba, wakamvika kichwani,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamvika vazi la rangi ya zambarau, wakasokota taji ya miiba, wakamtia kichwani;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakamuvalisha Yesu nguo nyekundu, na wakasokota taji na tawi lenye miiba na kumuvalisha nalo juu ya kichwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakamvika vazi jekundu, wakasokota taji ya miiba, wakamtia kichwani;