Mark 15:22 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha wakampeleka Yesu mpaka mahali palipoitwa Golgotha, maana yake, mahali pa Fuvu la Kichwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha wakampeleka Isa hadi mahali palipoitwa Golgotha (maana yake ni Mahali pa Fuvu la Kichwa).
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamleta mpaka mahali paitwapo Golgotha, yaani, Fuvu la kichwa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wakamleta Yesu hadi mahali palipoitwa Golgotha (Yaani Mahali pa Fuvu la Kichwa)
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kisha wakampeleka Yesu mpaka mahali palipoitwa Golgotha, maana yake, “Mahali pa Fuvu la Kichwa.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha wakampeleka Yesu mpaka mahali palipoitwa Golgotha, maana yake, mahali pa Fuvu la Kichwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha wakampeleka Yesu mpaka mahali palipoitwa Golgotha (ambayo, maana yake ni Mahali pa Fuvu la Kichwa).
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha wakampeleka Isa mpaka mahali palipoitwa Golgotha (maana yake ni Mahali pa Fuvu la Kichwa).
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamleta mpaka mahali paitwapo Golgotha, yaani, Fuvu la kichwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha wakampeleka Yesu mpaka mahali palipoitwa Golgotha, maana yake, mahali pa Fuvu la Kichwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakampeleka mahali pa Golgota, maana yake ni kwamba: Fuvu la kichwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamleta mpaka mahali paitwapo Golgotha, yaani, Fuvu la kichwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakamufikisha Yesu kwenye pahali palipoitwa Golgota, maana yake “Kilima cha Mufupa wa Kichwa.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakamleta mahali palipokwitwa Golgotha, tafsiri yake, mahali pa kichwa.